Headlines za Tanzania kwa sasa ni kuhusu uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2015, ambapo leo Sept 19 wasanii wa filamu walipata mualiko kutoka kwa mgombea mwenza kupitia chama cha Mapinduzi, Samia Suluhu na kuzungumza kuhusu kampeni ya Mama ongea na Mwanao inayosimamiwa na Steve Nyerere
Hizi ni baadhi ya picha za wasanii wa bongo movie walioalikwa nyumbani kwa mgombea mwenza kupitia CCM.
Pichani:Msanii wa Bongo Movie, Steve Nyerere ambaye ndie mwenyekiti wa kampeni ya Mama ongea na Mwanao.
Msanii wa Bongo Movie, Batuli.
Pichani:Steve Nyerere na Wema Sepetu wakiwa na mgombea mwenza kupitia chama cha Mapinduzi Samia Suluhu.
.
.
.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33



















