- Home
-
- BREAKING NEWZ: JUMAPILI NDIO MWISHO WA KUTUMIA NOTI ZA ZAMANI, SOMA ZAIDI HAPA
BREAKING NEWZ: JUMAPILI NDIO MWISHO WA KUTUMIA NOTI ZA ZAMANI, SOMA ZAIDI HAPA
Benki kuu ya Burundi imebadilisha noti za faranga 10,000 na 5,000 na itaacha kupokea noti za zamani ifikapo tarehe 18 Juni, 2023.
Wafanyabishara wa kwenye mikoa inayopakana na nchi hiyo wanashauriwa kubadilisha noti hizo ili kupata noti mpya kabla ya tarehe 18 Juni 2023.
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News