AUNT: SIHITAJI PEDESHEE, DANSA WANGU ANATOSHA

10 years ago113 Views

MAKUBWA! Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa wapo watu wanamcheka kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dansa (Moze Iyobo) lakini ni bora aendelee kuwa naye kuliko kuwa na uhusiano na mtu mwenye pesa za kugawa hovyo (pedeshee) asiyekuwa na mapenzi ya dhati.

Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel akiwa na mpenzi wake Moze Iyobo.
Akizungumza na Amani, Aunt alisema kuwa aangalii hela hata kama wakilala njaa lakini kama kuna mapenzi ya kweli inatosha kabisa kuliko kuwa kwenye hela akaumizwa na kunyanyaswa.
“Acha niendelee kuwa na dansa wangu kuliko kuwa na pedeshee ambaye hana mapenzi ya dhati kwangu akaenda kuniumiza na nisione raha ya penzi, kwa Moo (Iyobo) nafurahia mapenzi na wala siyo pesa kwani hata njaa tunaweza kulala,” alisema Aunt.

chanzo;globalpublishers

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.