Pambano la Manny VS Mayweather
limesababisha mastaa wakubwa kusafiri hadi Las Vega kuangalia fight
hiyo. Karibia wote walikaa kwenye viti vya bei ya juu, kati yao ni
Michael Jordan, Nick Minaj na wengine wengi. Cheki picha zako hapa
Actor Ben Affleck akitabasamu mbele ya camera
Billionare Donald Trump na mke wake
50 Cent
Denzel Washington
Muda mfupi kabla ya pambano Justin B alipost hii picha
Reonaldo DICaprio
Diddy & Cassie
Don Chandle na Bow Wow
Mark Welhberg kushoto
Michael Jordan na mke wake
Mike
Queen B na Jay
Paris Hilton
Robert De Niro
Kulia ni Sugar Ray Leonard
Minaj Nicki