- Home
-
- Alexander Mnyeti Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la Misungwi…..Kitwanga Kashika Nafasi Ya Pili
Alexander Mnyeti Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la Misungwi…..Kitwanga Kashika Nafasi Ya Pili
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti ameibuka kidedea katika kura za maoni Jimbo la Misungwi .
Mnyeti ameongoza kwa kura 406 akifuatiwa na aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Charles Kitwanga aliyepata kura 260
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News