MSANII IRENE UWOYA AFANYA KITUKO….APIGA PICHA ZA AJABU NA KUZIWEKA MITANDAONI

Admin Updates10 years ago7 Views

Katika 
hali  isiyokuwa  ya  kawaida, msanii  mkubwa  wa  bongo  movie, Irene 
Uwoya  ametupia  picha  mtandaoni  akiwa  hana  nguo  ya  juu  kiasi 
cha  kutafsiriwa  vibaya  na  mashabiki  wake  kwamba  ameanza 
kujiuza….


 


Uwoya 
alijipiga  picha  hiyo  na  kuitupia  mtandaoni  akiwa  ameandika 
ujumbe  wa   kuwananga  watu  waliompa  ushauri  wa  kutorudia  kitendo 
hicho  kwa  kuwa  yeye  ni  mke  wa  mtu….


 


“Unajua 
dada  wewe  ni  mke  wa  mtu  usifanye  hivyo, wewe  ndo 
ulinifungisha  ndoa? Mbona  mnakimbelembele  wabongo!  Please  Mind 
your  Business…..”
aliandika  Uwoya.


uwoya


 


Tabia 
ya  baadhi  ya  mastaa  kutuma  picha  zao  za  uchi  mtandaoni  bila 
kujali  nafasi  zao  kwa  jamii  imechukua  nafasi  kubwa  hivi  sasa,
hali  inayolalamikiwa  kukiuka  maadili  ya  mtanzania.


0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...