KAA CHONJO:ANGALIA JINSI MATAPELI WALIVYOMTUMIA MSANII DAVINA HUKO FACEBOOK KUFANYA YAO..

Admin Updates10 years ago4 Views

Stori: Imelda MtemaWALE
matapeli wanaotumia jina la Tanzania Loans, ambao huwadanganya watu
kuwa wanatoa mikopo isiyo na riba, wameingia kwenye akaunti ya msanii wa
filamu, Halima Yahaya ‘Davina’ katika mtandao wa facebook na kuwataka
watu kuchangamkia mikopo hiyo.

 
Msanii wa filamu, Halima Yahaya ‘Davina’.


“Unajua mpaka sasa watu hawanielewi kabisa mimi, wanajua ni kweli
ndiye niliyeandika kitu hicho, si kweli kabisa maana hata ndugu na
marafiki zangu wamenishangaa sana na wengine kuanza kunisema kwamba
nimeanza mambo ya utapeli,” alisema Davina.

Kampuni hiyo ya kitapeli ya Tanzania Loans, huingia katika akaunti za
watu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, hasa mastaa na kujifanya
kuwashawishi watu wajiunge katika mikopo hiyo, kitu ambacho siyo kweli.
Wananchi wanaombwa kuwa makini na kamwe wasiamini, ni matapeli hao!

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.