Pamojana kuwepo kwa taarifa ambazo mwenyewe Diamond Platnumz ameshindwa
kuthibitisha kuhusiana na kuwa na uhusiano na staa wa Uganda aitwae
Zari, mastaa hawa wameonekana kuwa karibu zaidi na kuendelea kufanya
kazi kwa pamoja huku wakiendelea kutawala vyombo mbalimbali vya habari
kwa kile kinachodaiwa kuwa wako kwenye ‘project‘
Hizo
stori hapo juu zinaambatana na stori nyingine kwamba Diamond na Wema
wameachana hivyo kwa sasa Diamond anatajwa kuwa na Zari.
stori hapo juu zinaambatana na stori nyingine kwamba Diamond na Wema
wameachana hivyo kwa sasa Diamond anatajwa kuwa na Zari.
Wema
na Diamond wamechukua tena headlines leo kwenye Instagram ambapo wote
wamejikuta wakiwa wanapromote events mbili tofauti zitazofanyika siku
moja ndani ya jiji la Kampala.
na Diamond wamechukua tena headlines leo kwenye Instagram ambapo wote
wamejikuta wakiwa wanapromote events mbili tofauti zitazofanyika siku
moja ndani ya jiji la Kampala.
Diamond aliweka picha hii hapa chini na kuandika kumsupport Zari kwenye event atakayoifanya December 18 2014 Kampala Uganda >>> kama
mlivyokuwa kimya wakati nasupport watu wengine… Muendelee
hivyohivyo…Hasa niwaskie kwenye hii #AllWhiteParty 18th Dec 2014 at
Guvnor night club in Kampala UG Usikose!… @zarithebosslady’ ambapo
wakati Diamond akiyaandika hayo Wema nae kwenye insta yake aliandika
kuipigia debe event ya mwimbaji Jose Chameleone ambayo inafanyika siku
hiyohiyo ya Dec 18 Kampala >>> Hatari….!!!! Hatari….!!!!
Hatari….!!!!! Sijawahi kufika Uganda lakini kwa hii ntapanda ndege
kabisa kwenda kumsupport my brother @jchameleone @jchameleone
@jchameleone @jchameleone @jchameleone @jchameleone …. Basi tutakutana
pale kati tar 18 kwenye hio show ya kufunga mwaka… Ama nene….

Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33