Hivi unakumbuka vizuri picha ya kwanza ya staa mtoto Blue Ivy tumeiona muda gani baada ya mtoto huyo kuzaliwa? Imekuwa ni kawaida mastaa wengi kuwa na tabia ya kuficha sura za watoto wao.
Ikiwa ni wiki tatu tangu ajifungue mtoto wa kiume, msanii Kelly Rowland ameweka kwa mara nyingine picha ya mtoto inayoonyesha wake ambapo bado hakuna picha inayoonyesha sura yake.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram (@kellyrowland) ameweka picha ya miguu ya mtoto wake huyo pamoja na maneno haya; “…The
most Happiest moment of my life — TJW! Share your Happiest moment now
on Instagram using #ThisIsMyTime for a chance to win my new @twsteeltimepiece! –xo…” @kellyrowland.
most Happiest moment of my life — TJW! Share your Happiest moment now
on Instagram using #ThisIsMyTime for a chance to win my new @twsteeltimepiece! –xo…” @kellyrowland.
Hii itakuwa picha ya pili msanii huyo kushare kwenye mtandao wa Instagram.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









