JE KUFANYA COLLABO NA STAR DAVIDO WA NIGERIA NI KAMA SHILINGI NGAPI HIVI ? IPO HAPA

Admin Updates10 years ago5 Views

Davido-DiamondFans wa muziki ni mashuhuda wa Collabo kali ambazo staa wa Nigeria, DAVIDOameshiriki
na kuzifanya kuwa nyimbo kubwa Afrika na Duniani, sikuwahi kusikia juu
ya kiwango cha pesa ambacho analipwa ili kufanya collabo, unaweza kuhisi
anahitaji pesa kiasi gani ili afanye collabo yoyote?


Kwenye moja ya interview alizofanyiwa hivi karibuni Davido amesema anafanya muziki kwa sababu anaupenda, haitaji malipo yoyote kutoka kwa msanii ambaye anafanya nayeCollabo, hakumbuki kama aliwahi kuhitaji malipo kwa ajili ya kushirikishwa kwenye ngoma yoyote.


I
don’t charge for collabos, and I don’t think I have in the past. The
truth is I love music and I just do it out of the love. So, I do it for
fre
e”– Davido.


Mbongo Fleva wetu DIAMOND PLATNUMZ ni mmoja ya mastaa ambao walipata nafasi kufanya collabo na DAVIDO na ikawa hit kubwa Afrika 2014.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.