![]() |
| Jokate na Hasheem thabit |
Tanzania Namba 2 Mwaka 2006, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti amesema
kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi alitokea sana kumzimikia
Hasheem Thabit kuliko Wanaume wote aliowahi kutoka nao kimapenzi Bongo
..Akizungumza na Gazeti la Kiu , Kidoti amesema kwa sababu ambazo
amezihifadhi moyoni mwake Hasheem alikuwa na vitu
Adimu sana ambavyo hawezi kuvitaja…..Kuhusu Diamond Ambae pia amewahi
kutoka nae Kidoti amesema hakuenjoy nae kwani yalikuwa mapenzi ya muda
mchache sana.







































