UTATA MKUBWA!! KANUMBA ALIFARIKI KWA KUDONDOKA,HUYU MPENZI MWINGINE WA LULU MICHAEL NAYE KAFARIKI KWA KUANGUKA

Admin Updates10 years ago6 Views

11141247_829399100430296_1991739193983155009_n


Lulu akiwa kwenye pozi..

Lusekelo Samson Mwandenga (Secky) enzi za uhai wake
Lulu Michael akiwa katika pozi

Lulu Michael

Msanii wa filamu machachari na mwenye vituko Elizabeth Michael (Lulu)
anadaiwa kupatwa na msiba wa mtu anayesemekana kuwa alikuwa ni mpenzi
wake.

Lulu ambaye ni nyota wa filamu ya “Foolish Age” anahusishwa kuwa alikuwa
akitoka kimapenzi na kijana huyo mfanyabiashara anayejulikana kwa jina
la Seki, chanzo kimoja kilieleza.

kwa mujibu wa chanzo hicho ni kwamba marehemu
Lusekelo Samson Mwandenga (Secky) alikuwa na mkewe
mchaMungu, inasemekana amefariki kama alivyofariki Steven Kanumba miaka
mitatu iliyopita, ambaye naye alidaiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na
mrembo huyo wa bongo movie.

Yapo madai kuwa vifo hivyo vinatokana na ushirikiana.

Kwa sasa Lulu ni mjamzito lakini hajamtaja mwanaume aliyempa ujauzito.

Na jana ilikuwa siku ya kuzaliwa ya Lulu.


Lemutuz kwenye ukurasa wake wa Instagram aliandika chanzo cha kifo chake kama inavyosomeka hapo juu.

FAMILIA YA MAREHEMU INASEMAJE?

secky 2 
Najua kama unafatilia habari zinazoendelea
mjini utakua umekutana na taarifa ya kifo cha huyu ndugu
yetu inaweza kuwa imekufikia lakini sio kwa usahihi, au chanzo cha kifo
kinaweza kuwa kimepotoshwa  na kuzua utata.

Sasa familia ya Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga (Secky)
imekanusha taarifa zinazoendelea kusambazwa kupitia voice note na
kwenye mitandao kuhusu chanzo cha kifo chake na kwamba alikwenda kwenye
birthday, ukweli ni kwamba aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba
mtoto wake nyumbani kwake, akapelekwa hospitali na baadae akafariki
akiwa Hospitali, hakuna kingine zaidi ya hapo.

Secky alikuwa rafiki wa watu wote wakiwemo wasanii wengi wa Bongofleva na hata Bongomovie pia ndio maana msiba huu umewagusa kutokana na ukarimu wake kwao akiwemo Wema Sepetu ambaye amesema >>> ‘Ulikua
mtu wa watu, sanaaaaa…… najua utaliliwa na wengi…. they say vizuri
havidumu, pumzika kwa amani baba…. It’s jus too hard to sink in….‘

Diamond Platnumz ameandika ‘Gone too soon my Brother… i still don’t wanna believe that you are realy Gone….dah si jana tu tumezungumza’

R.I.P Secky.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.