

Msanii wa filamu machachari na mwenye vituko Elizabeth Michael (Lulu)
anadaiwa kupatwa na msiba wa mtu anayesemekana kuwa alikuwa ni mpenzi
wake.
Lulu ambaye ni nyota wa filamu ya āFoolish Ageā anahusishwa kuwa alikuwa
akitoka kimapenzi na kijana huyo mfanyabiashara anayejulikana kwa jina
la Seki, chanzo kimoja kilieleza.
kwa mujibu wa chanzo hicho ni kwamba marehemu Lusekelo Samson Mwandenga (Secky) alikuwa na mkewe
mchaMungu, inasemekana amefariki kama alivyofariki Steven Kanumba miaka
mitatu iliyopita, ambaye naye alidaiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na
mrembo huyo wa bongo movie.
Yapo madai kuwa vifo hivyo vinatokana na ushirikiana.
Kwa sasa Lulu ni mjamzito lakini hajamtaja mwanaume aliyempa ujauzito.
Na jana ilikuwa siku ya kuzaliwa ya Lulu.

Lemutuz kwenye ukurasa wake wa Instagram aliandika chanzo cha kifo chake kama inavyosomeka hapo juu.
FAMILIA YA MAREHEMU INASEMAJE?
Najua kama unafatilia habari zinazoendelea
mjini utakua umekutana na taarifa ya kifo cha huyu ndugu
yetu inaweza kuwa imekufikia lakini sio kwa usahihi, au chanzo cha kifo
kinaweza kuwa kimepotoshwa na kuzua utata.
Sasa familia ya Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga (Secky)
imekanusha taarifa zinazoendelea kusambazwa kupitia voice note na
kwenye mitandao kuhusu chanzo cha kifo chake na kwamba alikwenda kwenye
birthday, ukweli ni kwamba aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba
mtoto wake nyumbani kwake, akapelekwa hospitali na baadae akafariki
akiwa Hospitali, hakuna kingine zaidi ya hapo.
Secky alikuwa rafiki wa watu wote wakiwemo wasanii wengi wa Bongofleva na hata Bongomovie pia ndio maana msiba huu umewagusa kutokana na ukarimu wake kwao akiwemo Wema Sepetu ambaye amesema >>> āUlikua
mtu wa watu, sanaaaaaā¦ā¦ najua utaliliwa na wengiā¦. they say vizuri
havidumu, pumzika kwa amani babaā¦. Itās jus too hard to sink inā¦.ā
Diamond Platnumz ameandika āGone too soon my Brother⦠i still donāt wanna believe that you are realy Goneā¦.dah si jana tu tumezungumzaā
R.I.P Secky.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







