Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George Mkuchika (, akipokea vazi la kimila kutoka kwa wajane wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Moringe Sokoine, mama Napono Sokoine na Nakiteto Sokoine alipowatembelea wajane hao nyumbani kwao Monduli, jijini Arusha ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake.
from CCM Blog http://bit.ly/2PI5EWW
via