UMEIPATA HII??ONA HAPA JINSI SUPERMODEL FLAVIANA MATATA ALIVYOVISHWA PETE YA UCHUMBA

Admin Updates10 years ago17 Views


Inawezekana
mwaka 2014 ukawa mwaka mwingine ambao mastaa wengi wa Tanzania kuanzia
kwenye movie, muziki na sekta nyingine wamehusika sana kwenye headlines
za uchumba na ndoa.



Post
hii ya leo ni maalum kwa ajili ya Mwanamitindo wa kimataifa anaetokea
Tanzania Flaviana Matata ambae amekua akiishi Marekani, kafungua page
mpya kwenye maisha yake baada ya kuvishwa pete ya Uchumba.


Kwa furaha aliyokua nayo, Flavvy aliipost picha kwenye page yake ya Instagram@FlavianaMatata Nov 16 2014 na kuionyesha hiyo pete na kama vile haitoshi, akaandika maneno ya ‘I said YES‘ ambapo Yes aliiandika kwa herufi kubwa…. yaani ‘Nilikubali au nilisema ndio’
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...