NA MWAMVUA MWINYI, KISARAWE WABUNGE wa viti maalum mkoani Pwani ,Subira Mgalu na Zainab Vullu wamechangia magodoro 20 ili kupunguza changamoto ya upungufu wa magodoro uliopo shule ya sekondari Maneromango.