Muigizaji bora wa kike katika tuzo za Sinema Zetu, Flora Kiyombo amesema alikuwa akimuhofisa sana Wema Sepetu katika kinyanganyiro hicho. Flora amefunguka hayo kwenye Mahojiano na kipindi cha Leo Tena