Na Mwandishi wetu Dar es Salaam KATIBU Mkuu wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbas ameitaka Makumbusho ya Taifa la Tanzania kuimarisha uhifadhi na utangazaji wa makumbusho na malikale