MAMA SAMIA,ANTHONY MAVUNDE,LUSINDE WAITEKA DODOMA MJINI, MAELFU WAFURIKA MKUTANO WAKE..SHUHUDIA HAPA
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni Dodoma mjini. Maelfu ya wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni