Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan, akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni Dodoma mjini.
Maelfu ya wananchi wakiwa kwenye mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM uliofanyika Dodoma mjini.
Mgombea wa ubunge jimbo la Mtera Livingstone Lusinde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini.
Maelfu ya wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan alipowalisi kwenye mkutano wa kampeni.
Maelfu ya wanannchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan alipowalisi.
Wagombea Ubunge Livingstone Lusinde (Mtera) na Anthony Mavunde (Dodoma mjini) wakishiriki kucheza muziki jukwani wakai wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo Dodoma mjini na kuhutubiwa na mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan
Mgombea Ubunge jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa wakati wa mkutano wa kampeii za CCm uliofanyika leo Dodoma mjini
Mgombea Ubunge Dodoma mjini, Anthony Mavunde akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika Dodoma mjini.
Mgombea Ubunge Jimbo la Kibakwe , Dk. Simba Chawene.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Kibakwe mkoani dodoma.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Kibakwe, Dk. Simba Chawene.
Msafara wa mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia ukiwa umeuziwa na wananchi wakati akienda jimbo la Mtera.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, akimnadi Mgombea Ubunge wa Ubunge jimbo la Mtera Livingstone Lusinde.
Mgombea Mwenza wa Urais tikati ya CCM, Mama Samia akiwahutubia wananchi wa jimbo la Mtera katika mkutnao wa kampeni uliofanyika katika Mtera.
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33




















