- Home
-
- SUPER STAR WA BONGO ACHARUKA KWA UJIO WA PSQURE TANZANIA ROUND HII
SUPER STAR WA BONGO ACHARUKA KWA UJIO WA PSQURE TANZANIA ROUND HII
Jackline Walper
Msanii maarufu muigizaji tanzania maarufu kwa jina la Jackline walper
afunguka kuhusu ujio wa wasanii wa muziku wakubwa duniani Psqure
tanzania kwenye show ilio andaliwa na kituo kikubwa cha tv EATV ambayo
imetangazwa na kituo hicho kuwa itafanyika tarehe 23.11.2013 yakuwa
atasitisha
kazi zake zote ikiwemo kwenda kushoot night scene ya movie yake mpya
kwakuwa yeye anahisi ndie shabiki mkubwa sana wa psgure akiwa kama
katika mastaa,.
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News