Klabu ya Kaizer Chiefs Yahamishia Majeshi Kwa Mshambuliaji huyu wa Simba

Masama BlogMATUKIOKIMATAIFAMICHEZO1 month ago115 Views

Klabu ya Kaizer Chiefs ya nchini South Africa imeonyesha Nia ya kumtaka Mshambuliaji wa Simba Steven Desse mukwala huku Kocha Nasreedin Nabi akivutiwa sana na uchezaji wa mshambuliaji huyo.

Steven Desse mukwala Hana shida juu ya Hilo ni swala la Klabu mbili kuamua Abakie Simba au aende South Africa maamuzi yapo kwenye uongozi wa Club ya Simba ambao ndio mmiliki halali wa mchezaji huyo akiwa amebakiza mkataba wa miaka 2 Hadi hivi sasa.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...