STORI ZA AYOTV! MENINAH ANAWATAKA NANI NA NANI PAMOJA? YA OMMY DIMPOZ JE? BANKY W NA DIAMOND VP?

Admin Updates10 years ago7 Views

MeninahNi
kwenye muendelezo wa zile stori za AyoTV ambayo itakua inakusogezea
video fupifupi za stori kubwa za Tanzania na mastaa wake kila wakati
inapobidi zikufikie.
Leo tunae mwimbaji wa bongofleva Meninah akieleza anawataka wakina
nani pamoja, Labda hutopenda haya maneno ya mwisho ya Ommy Dimpoz kuhusu
Wema Sepetu yakupite, na pia tuko na staa wa muziki Banky W kutoka
Nigeria na fikra zake kuhusu Diamond.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...