IKiwa siku chache zimepita tangu kuzinduliwa wiki ya Usalama Barabarani jijini Dar, hali ya bado si salama sana kwa vyombo vya moto.Pichani ni ajali iliyotokea maeneo ya Kawe-JKT jana jioni kama uonavyo pichani,na kusababisha foleni kubwa wakati Askari usalama wa Barabarani akisubiriwa kuja kuchukua hatua za kisheria.Madereva tunaoendesha vyombo vya moto tunapaswa kuwa makini muda wote tuendeshapo,kuepuka madhara ya ajali kama tukio hilo.
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2J0QQlX
via