KANUMBA DAY:HEBU SOMA HIZI JUMBE MBALIMBALI ZA MASTAA WA BONGO MOVIES

Admin Updates10 years ago4 Views


Kanumba Day: Jumbe Mbalimbali za Mastaa wa Bongo Movies



Leo imetimia  miaka mitatu  tangu aliekuwa staa nguli wa Bongo Movies,
Steven Kanumba afariki dunia, hizi ni baadhi ya jumbe ambazo mastaa
kutoka Bongo Movies wameziandika kuonyesha kumbukumbu zao kwa staa huyo.



Ni siku ambayo siwezi kusahau maisha yangu yote pumzika kwa amani
kanumba wangu., nilikupenda ila mungu alikupenda zaidi . Pumzika kwa
amani.


Johari



Huwezi kutaja mafanikio ya bongo movies bila kukutaja wewe…tunakuthamini na tunakukumbuka milele


JB



Steven Charles Kanumba pengo lako mpaka leo atujaweza kuliziba na
sidhani kama tutaweza tena ingawa Sasa umetimiza miaka mitatu tangu
ulipotuacha ghafla kiukweli ni ngumu sana kusahau Tutakukumbuka daima
kwani tunapozungumzia kiwanda cha sinema nchini lazima tulitaje jina
lako kaka angu …R.I.P KANUMBA.


Odama



Ni miaka 3 tangu umeondoka marehemu kanumba.Tulikuhitaji sana but Mungu
alikuhitaji zaidi.ulikuwa una mchango mkubwa sana katika kuipeperusha
bendera ya Tanzania.uliipenda kazi yako toka moyoni kiasi cha kutumia
hata hela ya mfukoni mwako kujitangaza kimataifa.Mungu ailaze roho yako
mahala pema peponi k…TOO PAINFULY


Shamsa ford



Nimiaka mitatu tangu utuache lakini tunaona kamajana Dah  hakika pengo
lako haliwezi kuzibika…. Mungu akuweke unapo stahili…. Amin


Riyama
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.