Jerry Silaa achukua fomu kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Ukonga

Masama BlogKITAIFASIASAMATUKIO4 months ago271 Views

Leo 28/6/2028 Mbunge wa Ukonga anayemaliza Muda wake Mhe.Jerry William Silaa amechukua na kurejesha fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea Ubunge Jimbo hilo kwa kipindi cha Pili.

Pichani Jerry Silaa akiwasili kwa furaha katika ofisi za CCM wilayani Ilala jijini Dar es Salaam mapema leo Mhe.Jerry Silaa akiwa ndani ya gari ndogo yake aina ya Toyota IST huku wengi wakishangaa kwani wamezoea viongozi wakitumia magari makubwa makubwa jambo kuchukua na kurejesha fomu ambalo Silaa amesema hajazoea.

Adha Jerry Silaa ambaye ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa UVCCM kata ya Ukonga,Diwani wa Kata ya Ukonga,Diwani Kata ya Gongolamboto,Meya wa Manispaa ya iIala,Mjumbe wa NEC ya CCM,Mjumbe wa Kamati kuu CCM na mbunge wa Ukonga Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi na kwa Sasa bado ni Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Aidha Jerry amesema anaamini bado wana Ukonga wanahitaji uwakilishi makini na wenye kujua shida zao ndio maana anaomba ridhaa ya chama cha mapinduzi ili kuendelea na kazi nyingi nzuri alizozianzisha chini ya uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...