JE?HUYU NDIYO MPENZI MPYA WA DIAMOND BAADA YA KUACHANA NA WEMA SEPETU??MUONE HAPA LIVE

Admin Updates10 years ago4 Views


Diamond
Platnumz na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zari the Boss
Lady hawakuishia kusafiri tu kwenye ndege na siti moja kutoka Afrika
Kusini. Ukweli ni kuwa walikuwa wamepanga kukutana.

Picha
za wawili hao wakiwa nje ya hoteli ya Double Tree jijini Dar
zinawaonesha wakifurahia muda wa faragha pamoja kama wapenzi vile.

Maswali
yanayozunguka kwenye vichwa vya wengi ni je wawili hao ni item tayari
au ni movie inaendelea kama apendavyo kusema hitmaker huyo wa Number 1?

Tayari mashabiki wameanza kuhisi kuwa kuna uhusiano mpya uliozaliwa kati ya mastaa hao ambapo katika picha moja Zari aliandika:

“Don’t
live your life enslaved by guilt. You must do what is right for you,
even if other ppl have a problem with it. #Diamonds #MummyFabulousSelf.”

  


 Wengi walihitimisha kuwa amemaanisha bae wake huyo mpya na hivyo kumlazimu kufafanua: “For fucks sake I meant #Diamonds as in my stones ��������… Y’all african people be tripping #IdleMinds.”
 

“Awwwwwwwwwwwww
kila la kheri  @diamondplatnumz follow what your heart say n you have
to live your life wish you all the best with your new bae if it is true
@zarithebosslady,”
ameandika mtu mmoja.
 
Hata hivyo baada ya maswali mengi, Zari aliamua kufumbua fumbo kwa kupost picha hiyo chini.

Zari aliandika: Thank you @diamondplatnumz for this opportunity. Africa get ready for our new project #uganda #Tanzania

 
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.