IRINE UWOYA AULIZWA MASWALI MAGUMU NA YENYE UTATA KIKAANGONI LIVE, HEBU SOMA HAYA 10 TU

Admin Updates10 years ago7 Views






Muigizaji wa filamu Irene Uwoya jana alikuwa kwenye Kikaango cha EATV/EA
Radio ambapo mashabiki huwauliza mastaa maswali kupitia Facebook.

Hata hivyo, sio maswali yote yalikuwa ya maana. Haya ni maswali 10 ya
kipuuzi au magumu zaidi aliyoulizwa 



*Thomas Muller:* IRENE UWOYA mara ya mwixho kufanya mapenzi LINI?na saa
ngpi? 


*Nelson Mgosi:* Hivi nikweli mkuu wa kaya huko Burundi ndio unampa penzi
na anakuhonga magari. Jibu maswari usiishie kusema mmhh Asante Nop
tunataka majibu 






*Malimba Manoti: * dah!hivi ni kweli ulikuwa hujui kupika ndo maana
ukazinguana na shemu?

*Sosthenes George:* kwanini unapenda kutuonyesha mapaja ukiwa location? 


*Daudi Shabani:* Unajisikiaje kumuiba mume wa mtu(msami)?

*


Ibra Moses Mwaisela:* Irene uwoya kwann umekula hela ya ndikumana
umeona kaishiwa umesepa zako ila malipo dunian kama ulimpendea hela
utapigwa fain hapahapa 


*Hashish Phill: * Mambo dada hivi maisha yako kwenye familia na mapenzi
unayachukuliaje, maake naona kama inaweza kuleta sheda hapo kwenu
kwakubadili wanaume public namna hiyo? 


*
Alifa Rajab: * Eti ni kweli wakati wa tendo la ndoa unapenda kuingiliwa
kinyume na maumbile na ndo chanzo cha h baba kuachana na wewe? 


*
Charlles Citty HDee:* ivi irene kwann unamtesa mumeo ndikumana namna
hyo? mtu anakupenda ivo alafu unamtenda kiasi hcho?,kwann ulikubal
kuolewa mapema kama ulkuwa unajua kwamba ndoa hutoiweza?,alafu n kwel et
unatembea na msami? 



 *Ally Rajabu:* nataka nijue km leo umekunya kweli km hujanya kaa kimya!


0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...