Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema chama chake kimeweka lengo la kukusanya Shilingi Bilioni 100 kupitia harambee ya kitaifa itakayozinduliwa rasmi kesho