Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na mwanaye Miraji Jakaya Kikwete wakiwasili kwenye kituo cha Treni ya Mwendokasi SGR Jijini Dar es Salaam wakati alipouwa anaelekea Jijini Dodoma kwenye Maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi yaliyofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma wiki iliyopita,Wengine waliomsindikiza Rais huyo wa awamu ya nne na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM ni Bw.Masanja Kadogosa ambaye ni Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) pamoja na maafisa wengine wa Chama Cha Mapinduzi.