BREAKING;Dkt Faustine Ndungulile Ashinda Nafasi ya Mkurugenzi Mkuu WHO kanda ya Afrika

Admin Updates9 months ago10 Views

Mbunge wa Kigamboni Mhe.Dkt.Faustine Ndungulile
Mwakilishi wa Tanzania katika uchaguzi wa Nafasi ya mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani(WHO) kanda ya Afrika Daktari Faustine Ndugulile,amechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika hilo la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika katika uchaguzi uliofanyika leo Jumanne, tarehe 27 Agosti 2024 mjini Brazzaville, Jamhuri ya Congo. Dkt. Ndugulile aliyeungwa Mkono na Serikali ya Tanzania pamoja na viongozi wake akiwepo Rais Samia amewashinda kwa kishindo wagombea wengine watatu kutoka Senegal, Niger na Rwanda.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...