Wananchi wapewa Elimu ya Usalama Barabarani kwenye wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani

1 year ago120 Views

 

Mmoja wa Wataalamu wa Masuala ya Usalama Barabarani toka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Mhandisi Faizer Mbange akimsikiliza mmoja wa Wadau mbalimbali waliofika na kupatiwa elimu ya Usalama Barabarani na wataaalam walipotembelea banda la TARURA katika Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yanaoendelea katika uwanja vya Jamhuri  jijini Dodoma.



Wadau mbalimbali waliofika na kupatiwa elimu ya Usalama Barabarani walipotembelea banda la TARURA katika Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yanaoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.


Naye Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhadisi Vctor Seff alivyotafutwa kwa Simu kutoa maoni yake kuhusu Ushiriki wa TARURA katika Maonyesho hayo ambayo yameandaliwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na wadau wengine likiwepo Baraza la Taifa la Usalama Barabarani amesema TARURA ni mdau Muhimu katika eneo la Usalama Barabarani ndio maana wamepeleka wataalamu kwa lengo la kutoa elimu ili kuwasaidia wananchi kuelewa njia mbalimbali za kuepuka athari zitokananzo na matumizi yasiyo sahihi ya barabara pamoja na njia nzuri ya kutunza miundombinu ya barabara.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.