- Home
-
- Ole Sendeka Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la Simanjiro
Ole Sendeka Aibuka Kidedea Kura za Maoni CCM Jimbo la Simanjiro
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Christopher Ole Sendeka, ameongoza katika uchaguzi wa kura za maoni wa Jimbo la Simanjiro kwa kupata kura za 309, akifuatiwa na Kiria aliyepata kura 47 na wa tatu ni Matei aliyepata kura 17.
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News