Dkt.Mwinyi afika nyumbani kwa Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kutoa pole,Jionee hapa
5 years ago106 Views
Share
Tunakusogezea picha kutoka nyumbani kwa Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa ambapo ni msiba wa Kiongozi huyo aliefariki leo July 24, 2020akipatiwa matibabu Jijini DSM, Mwinyi ambaye ameteuliwa kugombea Urais ZNZ amefika kutoa pole.