Rais wa awamu ya Nne, Jakaya Kikwete ametoa pole kwa Mama Anna Mkapa, Mke wa Rais Mkapa ambaye amefariki duniani usiku wa kuamikia leo.
Akizungumza baada ya kusaini kitabu cha maombolezo, Rais Kikwete amesema kifo ni siri ya Mwenyezi Mungu, “ jana nilikwenda kumuona hospitali, tulizungumza sana, alikuwa na maumivu lakini ya kawaida, sio yale ambayo unaweza kusema nimemuona mgonjwa lakini…tulizungumza mengi.
“Nilipopata taarifa niliuliza kimetokea nini tena, kwa sababu hakuwa mgonjwa ambaye unaweza kutia shaka, niliondoka nikamuaga bwana nitakuja kukuona tena kesho, ila sikuombei uendelee kukaa hospitali, natamani nije nikusalimie nyumbani, akaniambia naona nipo vizuri” Jakaya Kikwete Rais Mstaafu
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





