KUMBE YULE ALIYEANDIKA KIINGEREZA CHA KIMBULULA SIYO SHILOLE ‘’ORIJINO’’NI FEKI..HEBU ANGALIA HAPA

Admin Updates10 years ago5 Views

Lile
wimbi la watu kutumia majina ya mastaa kwenye mitandao ya kijamii
likiwa bado linaendelea  kwa kasi. Bongo movies imekutana  huyu anejiita
SHILOLE CLASIC.



Akijifanya kuwa yeye ni  Shilole, ambae mwigizaji na mwanamziki maarufu
hapa Bongo. Hebu tusaidiane kusoma hii NGELI alioitoa hapa.


Baada ya taarifa hizi kumfikia Shilole mwenye hiki ndicho alichokisema.

Nimetumiwa hii pic na kaka yangu  dully
sykes kuhusu hii account fake ya Facebook na najisikia vibaya coz si
Mimi na kama unatumia jina langu kama shabiki yangu sawa ila usiandike
habari za uongo na zisizoeleweka .ila Nina fanpage tu ya Facebook
inayoitwa shilole kiuno na nna account twitter pia inaitwa
shilolekiuno.so msidanganyike nje ya majina hayo.nawapenda Sana na
tusaidiane kuwaambia na wengine
.”


Jamani tubadilike na tuitumie vizuri mitandao hii ya kijamii.Bongo
movies.com inakemea tabia hii kwani ina athari kubwa kwa msanii na jamii
kwa ujumla.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.