DIAMOND PLATNUMZ NA ZARI PROJEKTI YANOGA! ACHA TUU..ONA MAMBO YAO

Admin Updates10 years ago6 Views


Mastaa wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari’wakila ujana.
Acha
muvi iendelee! Ile projekti ya mastaa wakubwa Afrika Mashariki, Nasibu
Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari’ sasa imenoga.

Habari zinaeleza kwamba katika pati ya mwaka ya Zari wiki iliyopita
iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Guvnor uliopo Kampala, Uganda mwanadada
huyo hakuishia kwenye pati tu bali alitumia nafasi hiyo kumtambulisha
Diamond aliyekuwa mgeni rasmi kuwa kwa sasa wao ni wapenzi.

‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari’ wakifanya yao.
Mbali na
mahaba niue waliyooneshana mbele za watu, wawili hao walitumia chansi
hiyo ‘kudendeka’ mbele ya kamera hivyo kudhihirisha kwamba mambo yao
yapo juu ya mstari.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.