MAPENZINI: Swala la mapenzi ni jambo
binafsi, lakini linapokuja kwa watu mastaa huwa lazima lilete stori.Leo
nimetua kwa mwigizaji nguli na mahili wa filamu hapa Bongo, Blandina
Chagula “JOHARI”.
Ni
muda mrefu sasa tangu aachane na aliekuwa mpenzi wake wa siri Vicent
Kigosi “Ray” ambae pia ni mwigizaji na muongozaji wa filamu, mwana dada
Johari kwa mara ya pili sasa ametokelezea akiwa na jamaa mwingine ambae
amezua maswali mengi bila majibu kutoka kwa Johari mwenye.
KIVIPI?
Takribani
miezi kadhaa iliyopita Johari kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa
instagram, aliweka picha hio hapo juu na kuandika “Washa Movie iendelee”
kwa wapenzi wa habari za UBUYU hapa mtakuwa mlimsoma vyema dada yetu.
Hii ilizua mjadala miongoni mwa mashabiki wake huku wengine wakisema
huyu jamaa ndio kachukua nafasi ya kaka yetu Ray wakati wengine wakisema
anafanya hivyo ili kumrusha roho Ray ambae kwa wakati huo penzi lake na
Chuchu Hans ilikuwa jipya na motomoto. Mbali na comment nyingi kumtaka
Johari afunguke, bado Johari alipiga kimya. Mzee wa Ubuyu namimi nikawa
kama vile nimeipotezea movie hii.
Kilichokuja
na kunifanya niikumbuke movie ni hivi majuzi kuweka picha tena akiwa
na jamaa huyo wakiwa kwenye sherehe ya harusi na bila kuandika chochote,
kwamaana nyingine aliwachia mashabiki wajiongeze wenyewe…sasa comment
zaidi ya asilimia 70 zilikuwa zisomeka, Shemejiiii, mnaendanaaa mara
ooh…safi sana…..Ilimradi kila mtu aliandika kile nachojisikia, Johari
hakujibu kitu ila wengi waliamni kuwa hapa kuna jamboo na watu kuwa wapo
penzini.
Namimi mzee wa ubuyu nikaonasiombaya nikuletee hii movie ili nawe uone na uiache iendelee.

Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33