MAMA YANGU…DUUH…MSANII JACKLINE WOLPER AFUNGUKA,ASEMA ANAPENDA SANA KUCHEZEA HII KITU HAPA!!!!
Hakuna
anaeweza kupinga kuwa mrembo na moja kati ya waigizaji pendwa wa kike
hapa bongo, Jackline Masawe “Wolper”ni miongoni mwamastaa wa kike
wachache ambao wanapenda kubadilisha mitindo ya nywele zao mara kwa
mara. Kwa wanaomfuatilia mitandaoni watakubali kuwa haiwezi ikapita wiki bila mwanadada huyu kuonekana na “style” mpya ya nywele.Hatimaye
leo akiwa katika mtindo mpya (picha hapo juu) wa nywele, wolper
alifunguka na kusema kuwa yeye anapenda kuchezea kichwa chake na
kuwaonya watu wasimuige kwani yeye yupo tayari kwachangamoto atakazo
zipata uzeeni.“Me napendaga tuu kukichezea hiki kichwa changu jamani
nando furaha yangu ..sasa we jipenicshe na kichwa changu wakati me
sijali ila nasikitika tuu uzeeni kma Mungu akiniweka weka hayo maumivu
yake yakichwa na ubongo”. Wolper alimaliza.
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News