TUHUMA NZITO KWA DIAMOND….ASHLEY TOTO AKANUSHA KUWA NA MAHUSIANO NA DIAMOND…!!!WAONE HAPA

Admin Updates10 years ago6 Views


 Mrembo
na mwigizaji wa filamu wa hapa Bongo anayefanyia kazi zake nchini
Ujerumani, Ashuu Ally “Ashley Toto amekanusha kuwa na mahusia yo
kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kufuatia  taarifa za
udaku zilizoenea hivi karibuni kwenye mazagezi ya udaku na blogu
mbalimbali kuwa wawili hawo wapo kwenye mahusino ya siri.

Kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa Instagram Ashley Toto
alibandika picha ya moja ya blogu (hapo juu) iliyoandika stori hiyo na
kuandika maneno haya.
“Waandishi wa magazeti hamuna kazi za kufanya??? au ndio hizo za kuota na kuandika vitu vya …ushuzi …… I have nothing to do with diamond ……….I have ma boyfriend so plz …”
Nadhani ameeleweka.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.