
Mrembo
na mwigizaji wa filamu wa hapa Bongo anayefanyia kazi zake nchini
Ujerumani, Ashuu Ally “Ashley Toto amekanusha kuwa na mahusia yo
kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kufuatia taarifa za
udaku zilizoenea hivi karibuni kwenye mazagezi ya udaku na blogu
mbalimbali kuwa wawili hawo wapo kwenye mahusino ya siri.
Kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa Instagram Ashley Toto
alibandika picha ya moja ya blogu (hapo juu) iliyoandika stori hiyo na
kuandika maneno haya.
alibandika picha ya moja ya blogu (hapo juu) iliyoandika stori hiyo na
kuandika maneno haya.
“Waandishi wa magazeti hamuna kazi za kufanya??? au ndio hizo za kuota na kuandika vitu vya …ushuzi …… I have nothing to do with diamond ……….I have ma boyfriend so plz …”
Nadhani ameeleweka.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








