PETITMAN AFUNGUKA HATA KAMA DIAMOND NI SHEMEJI YANGU SIWEZI KUMACHA WEMA SEPETU..SABABU HIZI HAPA

11 years ago129 Views


Mpambe
na Rafiki Mkubwa wa Wema Sepetu Petit Man Amesema Kamwe Hawezi kuachana
na Wema eti kwa Sababu Shemeji yake Diamond Ana mahusiano na Mwanamke
mwingine.. Kauli hiyo inaashiria kwamba Petman yupo tayari kunyang’anywa
Mke endapo uhusiano wake na Wema Sepetu hautaipendeza familia ya
Diamond kuliko kuvunja uhusiano na Wema Sepetu ..


Petitman ameyasema hayo akiwa na Ommy Dimpoz alipokuwa akitambulisha
nyimbo yake mpya katika vyombo mbali mbali vya habari Alisema “Mimi na
Wema ni Damu Damu …ila mambo ya mahusiano kila mtu na mambo yake
hatuingiliana wala kuwekeana mipaka ”

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.