PETIMAN:BORA NINYANG’ANYWE MKE KULIKO KUACHANA NA WEMA SEPETU

11 years ago146 Views



Mpambe na Rafiki Mkubwa wa Wema Sepetu Petit Man Amesema Kamwe Hawezi
kuachana na Wema eti kwa Sababu Shemeji yake Diamond Ana mahusiano na
Mwanamke mwingine..
Kauli hiyo inaashiria kwamba Petman yupo tayari kunyang’anywa Mke endapo
uhusiano wake na Wema Sepetu hautaipendeza familia ya Diamond kuliko
kuvunja uhusiano na Wema Sepetu ..

Petitman ameyasema hayo akiwa na Ommy Dimpoz alipokuwa akitambulisha nyimbo yake mpya katika vyombo mbali mbali vya habari

Alisema “Mimi na Wema ni Damu Damu …ila mambo ya mahusiano kila mtu na mambo yake hatuingiliana wala kuwekeana mipaka “

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.