Wazee wa ‘Kamwene’ Baada ya kuwagaragaza Wema na Hemedy kwenye Tuzo, washindi wafunguka

7 years ago90 Views

Baada ya kuwagaragaza Wema na Hemedy kwenye Tuzo, washindi wafunguka

Muigizaji bora wa kike katika tuzo za  Sinema Zetu, Flora Kiyombo amesema alikuwa
akimuhofisa sana Wema Sepetu katika kinyanganyiro hicho.

Flora amefunguka hayo kwenye Mahojiano na kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM ambapo
ameeleza kuwa hofu yake kwa Wema ni kutokana ana mashabiki wengi.

“Nilikiwa namuhofia Wema Sepetu sababu yeye ni msanii wa muda mrefu na amefanya filamu
nyingi na kingine anamashabiki wengi hivyo kwake ingekuwa rahisi kushinda sababu ya
umaarufu wake lakini nashukuru Mungu kwa kuweza kushinda Msanii bora wa kike,” amesema Flora.

Kwa upande wake  Rashidi Kassim  ambaye ndiye mshindi wa tuzo ya msanii bora wa kiume
amesema, ‘Mimi nilikuwa namuhofia Hemedy Phd kwa sababu ni msanii anayejulikana na yupo
kwenye filamu muda mrefu,’.

from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2E83vyu
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Previous Post

Next Post

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.