Azam FC kibaruani Leo na Rhino Rangers

7 years ago117 Views

Timu ya Azam FC leo inashuka dimbani kwenye kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC)
kuwakabili Rhino Rangers.

Utakumbuka katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL), Azam FC alikubali kipigo cha goli 3-1 kutoka kwa Simba SC.

Azam FC wanashuka dimbani leo majira ya saa moja usiku kwenye uwanja wao wa nyumbani, Chamanzi Complex kwa mara ya kwanza bila kocha wao Hans Van Der Pluijm aliyefurushwa kazi hivi karibuni.

from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2SWcJIp
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.