RC Senyamule ahudhuria kikao cha Baraza la Madiwani Chemba,Awapongeza kwa kupata hati Safi

Admin Updates11 months ago4 Views

 

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Rosemary Senyamule akijadiliana Jambo na Diwani wa Kata ya Mondo Chemba mkoani Dodoma ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chemba Mhe.Sambala Ole Comrade mapema baada ya kuhudhurhia kikao cha baraza la madiwani wa Halimashauri ya Wilaya ya Chemba jana.

 

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akiwasili pamoja na wasaidizi wake Wilayani Chemba Mkoani Dodoma jana ambapo alihudhuria kikao  cha  Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Chemba kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri hiyo ambapo Katika kikao hicho, Halmashauri hiyo ilibainika kupata kupata Hati Safi na kuwa na hoja za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 32, zikijumuisha hoja 18 za miaka ya nyuma.

Katibu yawala wa Mkoa wa Dododma Ndg. Kaspar Mmuya akiongea kuhusu mambo mbalimbali  katika kikao hicho.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.