Mmoja wa Wataalamu wa Masuala ya Usalama Barabarani toka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini Mhandisi Faizer Mbange akimsikiliza mmoja wa Wadau mbalimbali waliofika na kupatiwa elimu ya Usalama Barabarani na wataaalam walipotembelea banda la TARURA katika Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yanaoendelea katika uwanja vya Jamhuri jijini Dodoma.
Wadau mbalimbali waliofika na kupatiwa elimu ya Usalama Barabarani walipotembelea banda la TARURA katika Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani yanaoendelea katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.
Naye Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhadisi Vctor Seff alivyotafutwa kwa Simu kutoa maoni yake kuhusu Ushiriki wa TARURA katika Maonyesho hayo ambayo yameandaliwa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na wadau wengine likiwepo Baraza la Taifa la Usalama Barabarani amesema TARURA ni mdau Muhimu katika eneo la Usalama Barabarani ndio maana wamepeleka wataalamu kwa lengo la kutoa elimu ili kuwasaidia wananchi kuelewa njia mbalimbali za kuepuka athari zitokananzo na matumizi yasiyo sahihi ya barabara pamoja na njia nzuri ya kutunza miundombinu ya barabara.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33










