Msanii wa hip hop young killer baada ya kuwa muwazi kwa kila analofanya katika mitandao ya kijamii ususani instagram amefunguka kuwa amenunua gari ambalo litakuwa support
kubwa kwake katika harakati zake za muziki pia katika wasanii walio wazi kuweka wapenzi wao young killer amekuwa mmoja wapo na kufanya ma funs wao kupenda mahusiano yao na mpenzi wake aitwae Halima a.k.a Miss Hip Hop .
Mwendo wa selfie na kipenzi chake miss hip hop .