WEMA SEPETU NA KAJALA WAMALIZA TOFAUTI ZAO?

Admin Updates10 years ago7 Views

Habari mpya kama sio njema ni kuwa Wema Sepetu na Kajala Masanja wamemaliza tofauti zao zilizotokana na ‘beef’
lao lilichukua week kibao sasa. Kwa mujibu wa taarifa mpya mitandaoni
ni kuwa mastaa hao wawili ambao waliwahi kuwa mashosti wakubwa
walimaliza ‘beef’ lao katika sherehe ya kibao kata cha mwandishi wa magazeti ya Globalpublishers anayeitwa Imelda Mtema.





Katika tukio hilo mastaa kibao walihudhuria akiwemo Aunty Ezekiel ambaye kwasasa amekuwa karibu zaidi na Wema Sepetu. Nae Wema Sepetu
kupitia Instagram ame-share picha hiyo hapo juu akiwa na kina Kajala na
kuandika “nawapenda sana hawa hapa..jana hiyo kwa kibaokata cha Imelda Mtema”
Comment Kiistaarabu Hapo Chini Matusi na Kumchafua Mtu Hairuhusiwi

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...