- Home
-
- UMEIPATA HII YA SHILOLE KUTAPELI HELA YA SAMIR WA KINYULINYULI? KISA NI HIKI.
UMEIPATA HII YA SHILOLE KUTAPELI HELA YA SAMIR WA KINYULINYULI? KISA NI HIKI.
Stori za mastaa wetu wa Tanzania kila kukicha kunakuwa na vitu vipya
ambavyo vinajitokeza mara kwa mara,kupitia You heard ya June 16 Soudy
Brown ameamplify taarifa ambazo inasemekana Samir wa Kinyuli nyuli
alihitaji kuwatumia wacheza show(dancers) wa Shilole na baada ya
kuelewana Shilole aliombwa kutumiwa Laki 2 ili awalipe hao wacheza show.
Sasa ishu imekuja baada ya Shilole kupewa zile pesa hakufanikiwa
kuwapeleka wale dancers na kitu kinachozungumziwa na Samir na kuhusu
pesa aliyopewa anahitaji kurudishiwa maana video waliyotaka kuifanya
tayari imekwishafanyika.
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News